Psalms 79:2

2 aWametoa maiti za watumishi
kuwa chakula cha ndege wa angani
na nyama ya watakatifu wako
kwa wanyama wa nchi.
Copyright information for SwhNEN